Shared Flashcard Set

Details

Questions (with numbers)
swali (na nambari)
25
Language - Other
Undergraduate 4
09/30/2008

Additional Language - Other Flashcards

 


 

Cards

Term
Una kaka wangapi?
Definition
Example:
Sina kaka. OR
Nina kaka mmoja. OR
Nina kaka wawili. ETC
Term
Una dada wangapi?
Definition
Example:
Sina dada. OR
Nina dada mmoja. OR
Nina dada wawili. ETC
Term
Una miaka mingapi?
Definition
Example:
Nina miaka kumi na tisa. OR
Nina miaka ishirini na mmoja. OR
Nina miaka kumi na minane.
Term
Nambari yako ya nyumba ni gani?
Definition
Nambari yangu ni _____. OR
Ni _____.
Term
Nambari yako ya simu ni gani?
Definition
Nambari yangu ya simu ni _____. OR
Nambari yangu ni _____. OR
Ni _____.
Term
Huu ni mwaka gani?
Definition
Huu ni mwaka wa elfu mbili na nane. OR
Ni mwaka wa elfu mbili na nane. OR
Ni elfu mbili na nane.
Term
Mwaka jana ulikuwa gani?
Definition
Mwaka jana ulikuwa elfu mbili na saba. OR
Ulikuwa elfu mbili na saba.
Term
Mwaka ujao utakuwa gani?
Definition
Mwaka ujao utakuwa elfu mbili na tisa. OR
Utakuwa elfu mbili na tisa.
Term
Tafsiri: 1 student
Definition
mwanafunzi mmoja
Term
Tafsiri: 2 students
Definition
wanafunzi wawili
Term
Tafsiri: 3 students
Definition
wanafunzi watatu
Term
Tafsiri: 4 students
Definition
wanafunzi wanne
Term
Tafsiri: 5 students
Definition
wanafunzi watano
Term
Tafsiri: 6 students
Definition
wanafunzi sita
Term
Tafsiri: 7 students
Definition
wanafunzi saba
Term
Tafsiri: 8 students
Definition
wanafunzi wanane
Term
Tafsiri: 9 students
Definition
wanafunzi tisa
Term
Tafsiri: 10 students
Definition
wanafunzi kumi
Term
Tafsiri: 1 teacher
Definition
mwalimu mmoja
Term
Tafsiri: 4 teachers
Definition
walimu wanne
Term
Tafsiri: 6 teachers
Definition
walimu sita
Term
Tafsiri: 7 teachers
Definition
walimu saba
Term
Tafsiri: 9 teachers
Definition
walimu tisa
Term
Tafsiri: 3 teachers
Definition
walimu watatu
Term
Tafsiri: 10 teachers
Definition
walimu kumi
Supporting users have an ad free experience!