Shared Flashcard Set

Details

Living Language Swahili - Chapter 4
Chapter 4
50
Language - Other
Beginner
08/25/2022

Additional Language - Other Flashcards

 


 

Cards

Term
not the same, not okay, not right
Definition
sio sawa
Term
It depends.
Definition
Inategemea.
Term
school cafeteria
Definition
mkahawa wa shule
Term
for example
Definition
kwa mfano
Term
after that
Definition
baada ya hapo
Term
to exercise, work out
Definition
kufanya mazoezi
Term
dinner, evening meal
Definition
chakula cha jioni
Term
homework
Definition

kazi za shule

mazoezi ya nyumbani

Term
That's true, indeed
Definition
Ni kweli
Term

to wash clothes

Usually on weekends I wash clothes.

Definition

kufua nguo

Kwa kawaida wikiendi hufua nguo.

Term
How's life at college?
Definition
Vipi maisha ya chuoni?
Term
Do you like your classes (studies) and your professors?
Definition
Unapenda masomo yako na walimu wako?
Term
I usually get up much earlier in the dormitory.
Definition
Kawaidi huamka mapema zaidi bwenini.
Term

How do you go to work?

I take the bus to work.

Definition

Unaenda vipi kazini?

Ninapanda basi kuenda kazini.

Term
I work during the week (on week days).
Definition
Ninafanya kazi siku za wiki.
Term
I have a lot of work. (I have much work.)
Definition
Nina kazi nyingi
Term
What do you do in the evening?
Definition
Unafanya nini jioni?
Term
Do you play any sports?
Definition
Unacheza mchezo wowote?
Term
Do you sleep after that?
Definition
Baada ya hapo unalala?
Term
What do you usually do on the weekends?
Definition
Kwa kawaida unafanya nini wikiendi?
Term
Do you go out (walk out) with your friends?
Definition
Wewe huenda kutembea na marafiki zako?
Term
I relax on the weekend with my family.
Definition
Wikiendi hupumzika na familia yangu.
Term
I go to the cinema every Sunday night.
Definition
Huenda sinema kila Jumapili usiku.
Term
Days of week
Definition
Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa
Term
one child
Definition
Mtoto mmoja
Term
three people
Definition
watu watatu
Term
one chair
Definition
kiti kimoja
Term
five books
Definition
vitabu vitano
Term
15 people
Definition
watu kumi na watano
Term
I (you, he, etc.) take a shower at 6:00 AM everyday.
Definition
Kila siku huoga saa kumi na mbili asubuhi.
Term
She goes to the cinema every Sunday night.
Definition
Yeye huenda sinema kila Jumapili usiku.
Term
I wash my clothes on weekends.
Definition
Wikiendi mimi hufua nguo.
Term

I shave every day.

I do not shave every day.

Definition

Hunyoa ndevu kila siku.

Sinyoi kila siku.

Term
What's life like at boarding school? Is it the same as life here at home?
Definition

Vipi maisha ya shule ya bweni? Ni sawa na maisha ya hapa nyumbani?

Term

No, it is not the same. For example, at boarding school we get up very early.

Definition

Hapana, sio sawa. Kwa mfano katika ya shule ya bweni tunaamka mapema zaidi.

Term

Every school day I get up at 6:00 AM sharp.

Definition

Kila siku ya shule mimi huamka saa kumi na mbili kamili asubuhi.

Term
First, I exercise a little bit then shower.
Definition
Kwanza hufanya mazoezi kidogo, kisha huoga.
Term
Then I brush my teeth and shave.
Definition
Kisha hupiga mswaki na hunyoa ndevu.
Term
Do you walk to school?
Definition
Unaenda shule kwa miguu?
Term
Yes, I walk to school and begin studies at 9:00 AM.
Definition

Ndio, mimi huenda shule kwa miguu na huanza masomo saa tatu asubuhi.

Term
Where do you usually eat?
Definition
Kwa kawaida, unakula wapi?
Term
On school days I buy food and eat at the school cafeteria.
Definition

Siku za shule hununua chakula na hula katika mkahawa wa shule.

Term

What time do you get back (to the dormitory) from school?

(You return at what time to the dormitory from school?)

Definition
Unarudi saa ngapi bwenini kutoka shule?
Term
It depends. But I usually come back at 5:00 in the evening.
Definition

Inategemea. Lakini kwa kawaida hurudi saa kumi na moja jioni.

Term
What do yo do in the evening?
Definition
Unafanya nini jioni?
Term
In the evening I go to the gym for an hour.
Definition

Jioni mimi huenda kwenye sehemu ya mazoezi kwa saa moha.

Term
What do you usually do on the weekends?
Definition
Kwa kawaidi unafanya nini wikiendi?
Term
Usually I wash clothes and visit friends on the weekends.
Definition
Kwa kawaidi wikiendi hufua nguo na hutembelea marafiki.
Term
Is there a cinema nearby?
Definition
Kuna sinema karibu?
Term
Yes, I go to the movies (cinema) every Sunday night.
Definition
Ndio, mimi huenda sinema kila Jumapili usiku.
Supporting users have an ad free experience!