Shared Flashcard Set

Details

Living Language Swahili - Chapter 3
nouns, domonstratives, to have
96
Language - Other
Beginner
11/05/2017

Additional Language - Other Flashcards

 


 

Cards

Term
These are my grandchildren.
Definition
Hawa hapa ni wajukuu wangu.
Term
This tall person comes from Kenya.
Definition
Mtu mrefu huyu anatoka Kenya.
Term
These tall people come from Kenya.
Definition
Watu warefu hawa wanatoka Kenya.
Term
this,these (m-wa class)
Definition
huyu/hawa
Term
that/those (m-wa class)
Definition
yule/wale
Term
this child / these children
Definition
mtoto huyu / watoto hawa
Term
that child / those children
Definition
mtoto yule / watoto wale
Term
this teacher / these teachers
Definition
mwalimu huyu / walimu hawa
Term
this student / these students
Definition
mwanafunzi huyu / wanafunzi hawa
Term
that parent / those parents
Definition
mzazi yule / wazazi wale
Term
this grandchild / these grandchildren
Definition
mjukuu huyu / wajukuu hawa
Term
that American / those Americans
Definition
Mmarekani yule / wamarekani wale
Term
This book / these books
Definition
Kitabu hiki / vitabu hivi
Term
That bed / those beds
Definition
Kitanda kile / vitanda vile
Term
this cup / these cups
Definition
kikombe hiki / vikombe hivi
Term
that knife / those knives
Definition
kisu kile / visu vile
Term
this thing / these things
Definition
kitu hiki / vitu hivi
Term
that station / those stations
Definition
kituoni kile / vituoni vile
Term
This is my bed.
Definition
Hiki ni kitanda changu.
Term
These are my beds.
Definition
Hivi ni vitanda vyangu.
Term
These are their beds
Definition
Hivi ni vitanda vyao.
Term
That's our bathroom.
Definition
Kile ni choo chetu.
Term
These are our spoons.
Definition
Hivi ni vijiko vyetu.
Term
This long knife comes from Kenya.
Definition
Kisi kirefu hiki kinatoka Kenya.
Term
I come from the United States.
Definition
Mimi ninatoka Marekani.
Term
This person comes from Nairobi.
Definition
Mtu huyu anatoka Nairobi.
Term
The people come from Nairobi.
Definition
Watu wanatoka Nairobi.
Term
The book comes from Tanzania.
Definition
Kitabu kinatoka Tanzania.
Term
The books come from Tanzania.
Definition
Vitabu vinatoka Tanzania.
Term
ki-vi
this, these, that, those
Definition
hiki, hivi, kile, vile
Term
This is my bed.
Definition
Hiki ni kitanda changu.
Term
These are my beds.
Definition
Hivi ni vitanda vyangu.
Term
These are their beds.
Definition
Hivi ni vitanda vyao.
Term
Those are you're (pl.) beds.
Definition
Vile ni vitanda vyenu.
Term
Is this your knife?
Definition
Hiki ni kisu chako?
Term
These are our spoons.
Definition
Hivi ni vijiko vyetu.
Term
N-class (i-zi class)
this, these, that, those
Definition
hii hizi ile zile
Term
The computer comes from the U.S.
Definition
Kompyuta inatoka marekani (N-class)
Term
The computers come from the U.S.
Definition
Kompyuta zinatoka Marekani
Term
My computer comes from the U.S.
Definition
Kompyuta yangu inatoka Marekani.
Term
Their cars come from Japan.
Definition
Motokaa zao zinatoka Japani.
Term
This is a watch and that's a lamp.
Definition
Hii ni saa na ile ni taa.
Term
I have money.
Definition
Mimi nina pesa.
Term
The child has a book.
Definition
Mtoto ana kitabu.
Term
The children have books.
Definition
Watoto wana vitabu.
Term
The room has a dresser.
Definition
Chumba kina kabati.
Term
The rooms have beds.
Definition
Vyumba vina vitanda.
Term
The houses have rooms.
Definition
Nyumba zina vyumba.
Term
The post office has a bathroom.
Definition
Posta ina choo.
Term
I don't have money.
Definition
Mimi sina pesa.
Term
The child doesn't have a book.
Definition
Mtoto hana kitabu.
Term
The children don't have books.
Definition
Watoto hawana vitabu.
Term
The room doesn't have a dresser.
Definition
Chumba hakina kabati.
Term
The rooms don't have beds.
Definition
Vyumba havina vitanda.
Term
The houses have no rooms.
Definition
Nyumba hazina vyumba.
Term
The post office doesn't have a bathroom.
Definition
Posta haina choo.
Term
this is a tall child.
Definition
Huyu ni mtoto mrefu.
Term
These are tall children
Definition
Hawa ni watoto warefu.
Term
That's a long knife.
Definition
Kile ni kisu kirefu.
Term
Those are long knives.
Definition
Vile ni visu virefu.
Term
These are clean children
Definition
Hawa ni watoto safi.
Term
That's a clean knife.
Definition
Kile ni kisu safi.
Term
This is a big cat.
Definition
Huyu ni paka mkubwa.
Term
His pretty sister lives in Nairobi.
Definition
Dada yake mzuri anaishi Nairobi.
Term
mpwa yule (make plural)
Definition
wapwa wale
Term
ndizi hii (make plural)
Definition
ndizi hizi
Term
mwalimu huyu (make plural)
Definition
walimu hawa
Term
kikombe hiki (make plural)
Definition
vikombe hivi
Term
chupa ile (make plural)
Definition
chupa zile
Term
chakula kile (make plural)
Definition
vyakula vile
Term
njia hii (make plural)
Definition
njia hizi
Term
kitu hiki (make plural)
Definition
vitu hivi
Term
mzee huyu (make plural)
Definition
wazee hawa
Term
mbwa huyu (make plural)
Definition
wabwa hawa
Term
The room has a big bed.
Definition
Chumba kina kitanda kikubwa.
Term
The room doesn't have a big bed.
Definition
Chumba hakina kitanda kikubwa.
Term
The rooms have tables.
Definition
Vyumba vina meza.
Term
The rooms don't have tables.
Definition
Vyumba havina meza.
Term
The small rooms don't have bathrooms.
Definition
Vyumba vidogo havina vyoo.
Term
The house has a garden
Definition
Nyumba ina bustani.
Term
The black book is mine.
Definition
Kitabu cheusi ni changu.
Term
Your house is beautiful and big.
Definition
Nyumba yako ni nzuri na kubwa.
Term
This knife is small.
Definition
Kisu hiki ni kidogo.
Term
The beds are small.
Definition
Vitanda ni vidogo.
Term
Your garden is green.
Definition
Bustani yako ni kijani.
Term
The blue car is beautiful.
Definition
Motokaa bluu ni nzuri.
Term
This house has three rooms.
Definition
Nyumba hii ina vyumba vitatu.
Term
This house is good but it has no furniture.
Definition
Nyumba hii ni nzuri lakina haina fanicha.
Term
That house is big.
Definition
Nyumba ile ni kubwa.
Term
It has a big living room and (it) has a good kitchen.
Definition
Ina ukumbi wa kupumzikia mkubwa na ina jiko zuri
Term
This yard is big and beautiful
Definition
Bustani ni kubwa na nzuri.
Term
This house has three rooms.
Definition
Nyumba hii ina vyumba vitatu.
Term
This house is good but it has no furniture.
Definition
Nyumba hii ni nzuri lakina haina fanicha.
Term
That house is big.
Definition
Nyumba ile ni kubwa.
Term
It has a big living room and (it) has a good kitchen.
Definition
Ina ukumbi wa kupumzikia mkubwa na ina jiko zuri
Term
This yard is big and beautiful
Definition
Bustani ni kubwa na nzuri.
Supporting users have an ad free experience!