Shared Flashcard Set

Details

Living Language Swahili-Chapter 11
Chapter 11
117
Language - Other
Beginner
03/29/2020

Additional Language - Other Flashcards

 


 

Cards

Term
I want to chat.
Definition
Nataka kuchati.
Term
No problem.
Definition
Hapana tabu.
Term
It's true, that's right.
Definition
Ni kweli.
Term
Welcome, have a seat.
Definition
Karibu, ukae.
Term
How much do I owe (will I pay)?
Definition
Nitalipa bei gani?
Term
to switch on ("open") the computer
I switched on the computer.
I will switch on the computer later.
Definition
kufungua kompyuta
Nilifungua kompyuta.
Nitafungua kompyuta baadaye.
Term
Is a computer available.
Are they available?
Is it available?
Definition

Kompyuta inapatikana?

Zinapatikana?

Inapatikana?

Term
To be available
Is the room available now?
When will the director be available?
Definition
Kupatikana
Chumba kinapatikana sasa?
Mkurugenzi atapatikana lini?
Term
To depend (on).
It depends.
Definition
Kutegemea
Inategemea.
Term
The employee depends on (relies on) his paycheck.
Definition
Mfanyakazi anategemea cheki chake cha malipo.
Term
I depend on (trust) you.
You can depend on me.
I can depend on you.
Definition
Nakutegemea.
Unaweza kunitegemea.
Naweza kukutegemea.
Term
The students depended on their teacher.
Definition
Wanafunzi walimtegemea mwalimu wao.
Term
another time, other times, sometimes
Definition
mara nyengine
Term
I'm at work.
I am at home now.
I'm at my desk. (my desk)
Definition
Nipo kazini.
Nipo nyumbani sasa.
Nipo dawatini langu. (dawati langu)
Term
I am in the store.
Definition
Nipo dukani.
Term
to visit, walk with
let me visit (subjunctive form of verb)
let me visit you next week
Definition
kutembelea
Wacha nitembelee
Wacha nikutembelee wiki ijayo.
Term
let me read (subjective form)
let me read your book, please
Definition
Wacha nisome
Wacha nisome kitabu chako, tafadhali
Term
Let me help you.
Definition
Wacha nikusaidie.
Term
to import
they're imported (they are "ordered")
Definition
kuagiza
vinaagizwa
Term
Where do you get them? Where are they available?
Definition
Vinapatikana wapi.
Term
The director is not available now, or The director is unavailable now.
Definition
Mkurugenzi hapatikani sasa.
Term
situation, condition, status
The situation is not bad.
The current situation ...
Definition
hali
Hali sio mybaya.
Hali ya sasa ...
Term
My current situation is not good.
Definition
Hali yangu ya sasa sio nzuri.
Term
Her condition has improved.
The teacher's condition has improved.
Has your condition improved?
Definition
Hali yake imeboresha.
Hali ya mwalimu imeboresha.
Je, hali yako imeboresha?
Term
to continue
Continue. Go on!
Continue, please; tell me more.
Definition
Kuendelea
Endelea!
Endelea, tafadhali. Niambie zaidi.
Term
to send
I'd like to send an email.
I need to send money home.
Definition
kutuma
Ningependa kutuma email.
Nahitaji kutuma pesa nyumbani.
Term
the internet
internet service
Does the hotel have internet access?
Definition
mtandao
huduma ya mtandao
Hoteli ina huduma ya mtandao?
Term
file(s)
Definition
faili/mafaili
Term
document
I'd like to print a document.
Definition
waraka
Ningependa kuchapisha waraka.
Term
(computer) printer (n.)
Do you have a color printer?
Definition
printa
Una printa ya rangi?
Term
to use
I use a PC at work and an Apple at home.
Definition

Kutumia

Natumia PC kazini na Apple nyumbani.

Term
Perfect tense expresses a completed or accomplished act.
The teacher has (just) arrived
Definition
Mwalimu amefika.
Term
The students have (just) left.
Definition
Wanafunzi wameondoka.
Term
to cook
The cook has cooked chicken.
Have you cooked rice yet?
Definition
kupika
Mpishi amepika kuku.
Je, umepika wali bado?
Term
to learn
The student has learned Swahili (an accomplished act).
Definition
kujifunza
Mwanafunzi amejifunza Kiswahili.
Term
The students have learned to write.
Definition
Wanafunzi wamejifunza kuandika.
Term
Lucy has (just) gone to class.
Definition
Lucy ameenda darasani.
Term
The guests have arrived.
Definition
Wageni wamefika.
Term
The bus has left.
The buses have left.
Definition
basi limeondoka.
Mabasi yameondoka.
Term
to break, smash, destroy, damage
The child broke the chair.
The stone broke the window.
Definition
kuvunja
Mtoto alivunja kiti.
Jiwe lilivunja dirisha.
Term
to be broken, wrecked
The chair is broken (an accomplished fact). The child's arm is broken.
Definition
kuvunjika
Kiti kimevunjika.
Mkono wa mtoto umevunjika.
Term
sadness, sorrow, grief (n.)
a sad story
sad stories
Definition
huzuni
hadithi ya huzuni
hadithi za huzuni.
Term
to tell
Tell me more.
Definition
kuambia
Niambie zaidi.
Term
(a) story, myth, legend to narrate The teacher told the children a story.
Definition
hadithi hadithia Mwalimu alihadithia watoto hadithi.
Term
I am very tired.
Are you tired?
Definition
Nimechoka sana.
Umechoka?
Term
I am late.
I am not late.
Definition
Nimechelewa.
Sijachelewa.
Term
to be used to
I am really used to PC's.
I'm not really used to PC's yet.
Definition

kuzoea

Nimezea sana PC.

Bado sijazoea sana PCs.

Term
I have not cooked yet.
Definition
Bado sijapika.
Term
The students have left.
The students have not left.
Definition
Wanafunzi wameondoka.
Wanafunzi hawajaondoka.
Term
Lucy has gone to class.
Lucy has not gone to class.
Definition
Lucy ameenda darasani.
Lucy hajaenda darasani.
Term
The guests have arrived.
The guests have not arrived.
Definition
Wageni amefika.
Wageni hawajafika.
Term
The bus has left.
The bus has not left.
Definition
Basi limeondoka.
Basi halijaondoka.
Term
The chair is broken.
The chair is not broken.
Definition
Kiti kimevunjika.
Kiti hakijavunjika.
Term
The teacher is teaching Swahili.
Swahili is taught by the teacher.
Swahili is not taught by the teacher.
Definition
Mwalimu anafundisha Kiswahili.
Kiswahili kinafundishwa na mwalimu.
Kiswahili hakifundishwi na mwalimu.
Term
The animals are drinking water.
Water is being drunk by the animals.
Water is not being drunk by the animals.
Definition
Wanyama wanakunywa maji.
Maji yananywewa na wanyama.
Maji hayanywewi na wanyama.
Term
to destroy
to be destroyed
destruction
Definition
kuharibu
kuharibiwa
uharibifu
Term
A student destroyed the chair.
The chair was destroyed by the student.
The chair was not destroyed by student.
Definition
Mwanafunzi aliharibu kiti.
Kiti kiliharibiwa na mwanafunzi.
Kiti hakikuharibwa na mwanafunzi.
Term
to remove
to be removed
Definition
kuondoa
kuondolewa
Term
The policeman moved the car.
The car was moved by the police officer.
The car was not moved by the police officer.
Definition
Askari aliondoa gari.
Gari liliondolewa na askari.
Gari halikuondolewa na askari.
Term
to appoint
to be appointed
Definition
kuteua
kuteuliwa
Term
The president will appoint the minister.
The minister will be appointed by the The The president will appoint the minister. The minister will not be appointed by the president.
Definition
Rais atateua waziri.
Waziri atateuliwa na rais.
Waziri hatateuliwa na rais.
Term
Swahili is taught by the teacher.
Swahili is not taught by the teacher. (negate).Swahili was not taught by the teacher.
Definition
Kiswahili kinafundishwa na mwalimu.
Kiswahili hakifundishwi na mwalimu.
Kiswahili hakufundishwa na mwalimu
Term
desk
the teacher's desk
Definition
dawati
dawati la mwalimu
Term
The current situation in Uganda is dangerous.
Definition
Hali ya sasa katika Uganda ni hatari.
Term
Your smile makes me happy.
Definition
Tabasamu lako linanifurahisha.
Term
destruction of property (wealth)
Definition
uharibifu wa mali
Term
many
other, another
Definition
-ingi
-ingine
Term
many people
other people
Definition
watu wengi
watu wengine
Term
many students, many children
other students, other children
Definition
wanafunzi wengi, watoto wengi
wanafunzi wengine, watoto wengine
Term
a lot of food
Definition
chakula kingi
Term
many books, other books
Definition
vitabu vingi, vitabu vingine
Term
many chairs are needed
other chairs
Definition
viti vingi vinahitajika
viti vingine
Term
much sun
Definition
jua jingi
Term
another car
other cars
Definition
gari jingine
magari mengine
Term
Are there other cars like this one available for purchase?
Definition
Kuna magari mengine kama hii yanapatikana kwa kununua?
Term
many fruits
other fruits
Definition
matunda mengi
matunda mengine
Term
many flowers
other flowers
Definition
maua mengi
maua mengine
Term
This garden has many flowers.
That garden has other flowers.
Definition
Bustani hii ina maua mengi.
Bustani ile ina maua mengine.
Term
many bananas
other bananas
Definition
ndizi nyingi
ndizi nyingine
Term
many houses
other houses
Definition
nyumba nyingi
nyumba nyingine
Term
much bread
Definition
mkate mwingi
Term
many trees
other trees
Definition
miti mingi
miti mingine
Term
many rivers
other rivers
Definition
mito mingi
mito mingine
Term
Many rivers in that country are dirty.
Many rivers in his country are polluted.
Definition
Mito mingi katika nchi hiyo ni chafu.
Mito mingi katika nchi yake ni unajisi.
Term
which book
which books
Which book do you like most?
Definition
kitabu kipi
vitabu vipi
Unapenda kitabu kipi zaidi?
Term
which chair
which chairs
Definition
kiti kipi
viti vipi
Term
Which house does your family live in?
Which houses were built last year?
Definition
Familia yako inaishi nyumba ipi?
Nyumba zipi zilijengwa mwaka jana?
Term
Which languages do you speak?
He speaks many languages.
Definition
Unasema lugha zipi?
Anasema lugha nyingi.
Term
The student has gotten tired.
Definition
Mwanafunzi amechoka.
Term
Our teachers are late.
Definition
Walimu wetu wamechelewa.
Term
The new computers have arrived.
Definition
Kompyuta mpya zimefika.
Term
Your laptop is broken.
Definition
Kompyuta yako ya mkononi imeharibika.
Term
The file has been lost.
Their files are (have been)lost.
Definition
Faili imepoteza.
Mafaili yamepotea. ???
Term
my email
I have checked my email twice.
I have not checked my email this morning.
Definition
barua pepe yangu
Nimeangalia barua pepe yangu mara mbili.
Sijaangalia barua pepe yangu asubuhi hii.
Term
The students have come.
The students have not come.
Definition
Wanafunzi wamefika.
Wanafunzi hawajafika.
Term
The teacher has left.
The teacher has not left.
The teachers have not left yet.
Definition
Mwalimu ameondoka.
Mwalimu hajaondoka.
Wanafunzi hawajaondoka bado.
Term
The child is (just now) sleeping.
The child is not (just now) sleeping.
The children are not asleep yet.
Definition
Mtoto amelala.
Mtoto hajalala.
Watoto hawajalala bado.
Term
The teachers are late.
The teachers are not late.
Definition
Walimu wamechelewa.
Walimu hawajachelewa.
Term
The student is awake.
The student is not awake.
The students are not awake.
Definition
Mwanafunzi ameamka.
Mwanafunzi hajaamka.
Wanafunzi hawajaamka.
Term
The police officer moved the cars.
The cars were moved by the police officer.
Definition
Askari aliondoa magari.
Magari yaliondolewa na askari.
Term
The landlord is renting the house.
The house is being rented by the landlord.
Definition
Mwenyenyumba anapangisha.
Nyumba inapangishwa na mwenyenyumba.
Term
Lucy is selling a computer.
The computer is being sold by Lucy.
Definition
Lucy anauza kompyuta.
Kompyuta inauzwa na Lucy.
Term
David baked bread.
Bread was baked by David.
Definition
David alioka mkate.
Mkate uliokwa na David.
Term
Many people learn Swahili.
Definition
Watu wengi wanajifunza Kiswahili.
Term
Many trees fell down.
Definition
Miti mingi ilianguka.
Term
A lot of food was eaten.
Definition
Chakula kingi kililiwa.
Term
Students bought many books.
Definition
Wanafunzi walinunua vitabu vingi.
Term
I bought many pieces of fruit (fruits).
Definition
Nilinunua matunda mengi.
Term
Many laptops have been bought.
Definition
Kompyuta nyingi za mkononi zimenunuliwa.
Term
Which student did not come?
Definition
Mwanafunzi yupi hakuja?
Term
Which children are sleeping?
Definition
Watato wepi wanalala?
Term
Which food is bad?
Definition
Chakula kipi ni kibaya?
Term
Which rooms are good?
Definition
Vyumba vipi ni kizuri?
Term
Which eye is hurting?
Definition
Jicho lipi linauma?
Term
Which cars are bad?
Definition
Magari yapi ni mabaya?
Term
Which website is yours?
Definition
Tovuti ipi ni yako?
Term
to rent
Which houses is he renting?
Definition
kukodisha
Nyumba zipi anakodisha?
Supporting users have an ad free experience!